Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
Mi ninavyo vifaa.....nitakupa kwa masharti lakini.....nikuuzie Seti nzima kwa laki 2 au tafuta Kazi tufanye ikiisha nitakupa vifaa vitakavyotumika hapo....zingatia nitakupa vifaa na sio Pesa.....karibu sana...piga namba hii chap kwa mahitaji ya fundi na vifaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.