Wakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi.
Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo
1. Sinza Kivulini
2. Lufungila hadi kwa mama ngoma
3. Sinza Kumekucha
4. Palestina
5. Sinza ya Law school (sijui ndio Sinza A)
Ghetto liwe self au master, nikipata ghetto lenye sehemu ya jiko itakuwa poa sana.
Iwe ni mtu anaishi ila anampango wa kuhama au mtu wa kitaa mwenye kujua upatikanaji wa room anicheki PM au kwenye comment.
Karibuni kwa ushauri, mawazo & connection.