Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

Ahsante kwa kunisanua, una mchongo wowote kuhusu room hapo sinza?
Ngoja nitakuulizia. Kuna mahala ex wangu alikua anakaa self ya sebule chumba na jiko maji ndani ilikua 200k.

Kwa maana iyo kwa 150 unapata single moja kali sana.

Pia, Sinza nyumba nyingi sana wanakaa maji bure. DAWASA sijui inafeli wapi.
 
Pamoja Mkuu, utanijulisha ukipata
Ngoja nitakuulizia. Kuna mahala ex wangu alikua anakaa self ya sebule chumba na jiko maji ndani ilikua 200k.

Kwa maana iyo kwa 150 unapata single moja kali sana.

Pia, Sinza nyumba nyingi sana wanakaa maji bure. DAWASA sijui inafeli wap

Back
Top Bottom