chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Cha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au hata binadamu, banda hilo liwe linatosha kuweka kuku 20.
ambacho bado sijui nataka ushauri ni je, kuku wanao taga wanakaa wapi ? kuku wanaolalia mayai wanakaa wapi, na kuku wanao umwa wanapaswa kukaa wapi ?
cha kwanza ndo hicho kuhusu banda, chapili nataka ushauri jinsi ya kuwafuga kwa usahihi, ili wakue vizuri na kuepuka magonjwa kama kideri n.k
nilishawai kufuga kuku ila saivi nataka nifuge kwa kuzingatia namna bora.
najua huku lazima kuna watu wapo wenye uzoefu kaiyo naomba ushauri kwao, pamoja na gharama zinazohitajika kwa vigezo hivyo vya banda na kuku wa kienyeji 20