chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Uwe na space ya kutosha, tumia semi-battery system,nusu siku wakoo bandani nusu siku wako nje, control parasites and diseases,, kwenye Banda weka mbao ambako watalala, maana kuku hataki kulala chini, mwisho kuku hataki baridi, narudia kuku hatak baridi ,,tengeneza watakapolala pasiwepo na baridiCha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au hata binadamu, banda hilo liwe linatosha kuweka kuku 20.
ambacho bado sijui nataka ushauri ni je, kuku wanao taga wanakaa wapi ? kuku wanaolalia mayai wanakaa wapi, na kuku wanao umwa wanapaswa kukaa wapi ?
cha kwanza ndo hicho kuhusu banda, chapili nataka ushauri jinsi ya kuwafuga kwa usahihi, ili wakue vizuri na kuepuka magonjwa kama kideri n.k
nilishawai kufuga kuku ila saivi nataka nifuge kwa kuzingatia namna bora.
najua huku lazima kuna watu wapo wenye uzoefu kaiyo naomba ushauri kwao, pamoja na gharama zinazohitajika kwa vigezo hivyo vya banda na kuku wa kienyeji 20
maana yake niwe nawafungulia wazurure, hawatapata magonjwa katika uzururaji wao ?Uwe na space ya kutosha, tumia semi-battery system,nusu siku wakoo bandani nusu siku wako nje, control parasites and diseases,, kwenye Banda weka mbao ambako watalala, maana kuku hataki kulala chini, mwisho kuku hataki baridi, narudia kuku hatak baridi ,,tengeneza watakapolala pasiwepo na baridi
bora kuliko wangekufa au kuibiwaNilianza na mtaji wa kuku 50 lakini sasa nashukuru nimefanikiwa kuwala wote
hii sio chai kwasababu nataka nianze ufugaji lakini hiyo style niliwai kufanya lakini nirahisi kukubkuoata na kuambukizana magonjwa, watoto wanaliwa na paka kama sehemu kun mbwa kuku wakubwa pia wanaliwaWa kienyeji hawataki mambo mengi, we lishia chakula asubuhi then fungulia wakacheze komborela huko nje. ukitaka uwafuge ndani tu hutoboi
anyway, tutaaminije kuwa hii siyo chai ya rangi?
NB: kama ni wa kienyeji usijidanganye ukaenda tofauti na huo mfumo, ni bora utafute njia za kuondokana na hayo matatizo kama kuweka wigo, kutafuta site nje kidogo na makazi ya watu nk, ila siyo ufugie ndani. kienyeji ukimfuga ndani utakaa mwaka mzima unalalamika hawakui wala kuongezeka uzito, magonjwa ya hovyo honyo tofauti na akiwa anazunguka kujitafutia, wewe unampa tu asubuhi apate nguvu za kutafutahii sio chai kwasababu nataka nianze ufugaji lakini hiyo style niliwai kufanya lakini nirahisi kukubkuoata na kuambukizana magonjwa, watoto wanaliwa na paka kama sehemu kun mbwa kuku wakubwa pia wanaliwa
ok asante kwa ushauri huuNB: kama ni wa kienyeji usijidanganye ukaenda tofauti na huo mfumo, ni bora utafute njia za kuondokana na hayo matatizo kama kuweka wigo, kutafuta site nje kidogo na makazi ya watu nk, ila siyo ufugie ndani. kienyeji ukimfuga ndani utakaa mwaka mzima unalalamika hawakui wala kuongezeka uzito, magonjwa ya hovyo honyo tofauti na akiwa anazunguka kujitafutia, wewe unampa tu asubuhi apate nguvu za kutafuta
nawaza pia wakija kua wengi, mfano 200 au 300 kuwaachia huru itawezekana tenaKuku wa wa asili ili wafanye vizuri wafuge nusu huria kinyume na hapo matokeo yatakuwa hasi.
Kuhusu banda tafuta fundi muelekeze unataka la namna gani kisha afanye yake.
Kuhusu sehemu ya kutagia inategemea na ukubwa wa banda ila all in all itakupasa pawe na giza kiasi sehemu ya kutagia.
Kuhusu magonjwa zingatia sana tiba asili kwa kuku hao wachache inawezekana lakini kamwe usipuuzie chanjo maana mgaonjwa mengi huletwa na binadamu wenyewe
Panda Alovera
Mapapi
Mwarobaini
Cactus 🌵
Pilipili kichaa
Hizo zote ni dawa.
Usiahau kuwapa vitunguu maji mara1 moja.
Kilalla kher
Asante, twende tukaanze ufugaji kijijini mamtuKila la kheri
InshaAllah baba yoyoAsante, twende tukaanze ufugaji kijijini mamtu
Narudi tena mkuu. Kuku asili hata wawe buku ili uwafuge kwa faida wafuge nusu huria.nawaza pia wakija kua wengi, mfano 200 au 300 kuwaachia huru itawezekana tena
ok asante mkuuFaida ya ufugaji nusu huria ni hizi kwa uchache
1. Gharama ndogo za chakula
Kuku wanapata sehemu ya chakula chao wenyewe (wadudu, majani, nafaka zilizotapakaa), hivyo unapunguza matumizi ya kununua chakula.
2. Ukuaji na afya bora
Kwa sababu wanapata nafasi ya kutembea na kula vyakula asilia, kuku huwa na kinga nzuri ya mwili na magonjwa hupungua.
3. Mayai na nyama bora zaidi
Bidhaa za kuku wa nusu huria huwa na ladha nzuri zaidi, na mara nyingi hupendwa sokoni kuliko wa kufungiwa muda wote.
4. Uzalishaji mzuri wa mayai
Kuku wanapokuwa na uhuru kiasi, hupunguza msongo wa mawazo (stress), hivyo hutaga mayai vizuri zaidi.
5. Udhibiti rahisi
Tofauti na huria kabisa, bado una banda ambapo kuku hulala na kulindwa usiku dhidi ya wanyama hatari na wezi.
6. Matumizi bora ya ardhi
Kuku wanasaidia kupunguza wadudu shambani na pia hutoa samadi inayoongeza rutuba ya udongo.
7. Uwekezaji mdogo wa kuanzia
Huhitaji miundombinu ya gharama kubwa kama ya kufugia ndani muda wote (intensive system).
Binafsi mimi siwezi fuga kuku wa kienyeji kwa kuwafungia ndani.
Maana wataandamwa na maginjwa na kudonoana.
Naomba elimu kidogo juu ya kuwapa vitunguu majiKuku wa wa asili ili wafanye vizuri wafuge nusu huria kinyume na hapo matokeo yatakuwa hasi.
Kuhusu banda tafuta fundi muelekeze unataka la namna gani kisha afanye yake.
Kuhusu sehemu ya kutagia inategemea na ukubwa wa banda ila all in all itakupasa pawe na giza kiasi sehemu ya kutagia.
Kuhusu magonjwa zingatia sana tiba asili kwa kuku hao wachache inawezekana lakini kamwe usipuuzie chanjo maana mgaonjwa mengi huletwa na binadamu wenyewe
Panda Alovera
Mapapi
Mwarobaini
Cactus 🌵
Pilipili kichaa
Hizo zote ni dawa.
Usiahau kuwapa vitunguu maji mara1 moja.
Kilalla kher
Wazurure lakini kwenye eneo lenye uzio usioingiliana na enro jingine.maana yake niwe nawafungulia wazurure, hawatapata magonjwa katika uzururaji wao ?