Nataka kuanzisha biashara duka dogo la mangi leseni lazima?

Nataka kuanzisha biashara duka dogo la mangi leseni lazima?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Of course sio biashara kubwa kiasi kiviile hapana, ni biashara ya kawaida tu. Vipi TRA watanisumbua? Au kukata leseni hadi biashara iwe kubwa kiasi gani?
 
Anzisha mapema! hiyo itajulikana mbele kwa mbele.. Malengo ya mwaka mpya Huwa yanaishia Februari.. Ukijifikirisha tu Aprili hii hapa
 
Sio lazima.. make sure duka halina mbwembwe nyingi zinazovutia tiaraei
 
Leseni na TIN muhimu mkuu....

Leseni utailipia kila mwaka,utapewa mpya....ni vzuri leseni ukatafuta kabla hujaanza biashara,makadiri yatakua madogo kuliko uanze afu wajuba wapite wakute duka limenona afu huna leseni...

Pia kuna kitu kinaitwa service levy,utahitajika kulipia kila mwaka...apo inategemea na mauzo yako.

Kodi za TRA inategemea sasa na ukubwa wa biashara yako....
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom