Hongera Sana kwa kuwa na uthubutu..
Lakini pia Hongera Sana kwa kuwa na ujasiri na bidii katika kuifanyia uchunguzi biashara yako..
Ushauri wangu!
Unaweza kuwaface wakulima moja kwa moja na kuwatalifu kuwa unauza dawa za majani(magugu)
Likini pia unaweza kuwasiliana na General supplier wa hizo dawa za kilimo na wewe ukawa wakala huko kijijini.
Mbali na hapo! Unaweza kuanzisha Kama Team ya vijana wachache mkaelekezana mkawa kazi yenu Ni kuuza hizo dawa na kumwagilia shambani moja kwa moja.
Mwisho kabisaa!
Wakulima wengi kipindi Cha kilimo huwa hawana pesa hivyo unaweza kuwakopesha wakakulipa kwa mazao....
Alafu na wewe ukauza hayo mazao ili kupata pesa
Au wakakulipa pesa yako wakati wa mavuno..
Huo ni mtazamo wangu! Mana Hilo wazo Ni muhimu kwani magugu hodhohofisha mazao husika, ndio maana Ni kimbilio kwa wakulima wengi.