Nataka kuanzisha biashara ya supu ya pweza Morogoro

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
703
Habari wakuu, nipende kuwatakia kheri ya mwaka huu mpya wa 2021 mungu akawafungulie baraka kila mtu kwa hitaji lake.

Naomba nirejee kwenye mada baada ya salamu.

Niko maeneo ya moja ya vyuo vikuu hapa mkoani Morogoro, ninahitaji kuanzisha biashara ya kimkakati ya kuuza supu ya pweza ndani ya eneo la chuo (eneo lipo tayari sio mtaani ni ndani ya viunga vya chuo).

Naomba kwa mwenye dodoso ambazo zitaniongezea kitu hapa anisaidie.

Upatikanaji wa pweza kwa kilo, Bei yake, kuisafirisha toka Dar hadi huku orogoro.

Changamoto zake piah kama zipo nitashukuru nikizijua ile zinisaidie kujiimarisha nianzapo biashara hii

Nawasilisha
 
Mimi ni dalali.
Nitakutafutia taarifa zote pamoja na kukuunganisha na wauzaji wa pweza mbadilishane mawazo.

Niandalie elfu 5 kama gharama tu ndogo.

Nipo Tabata reli hapa

Namba yangu 0744033555
 
Mimi ni dalali.
Nitakutafutia taarifa zote pamoja na kukuunganisha na wauzaji wa pweza mbadilishane mawazo.

Niandalie elfu 5 kama gharama tu ndogo.

Nipo Tabata reli hapa

Namba yangu 0744033555
Karibu sana ndugu
 
Nyie jamaa leteni hayo madini kuanza biashara ya pweza tufaidike wote.
 
Habari wakuu ...NatakA kuifanya hii biashara arusha kwa kiwango kile kile Cha dar ...wapi ntapata soko la kununua huyo samaki kwa chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…