Habari wakuu, nipende kuwatakia kheri ya mwaka huu mpya wa 2021 mungu akawafungulie baraka kila mtu kwa hitaji lake.
Naomba nirejee kwenye mada baada ya salamu.
Niko maeneo ya moja ya vyuo vikuu hapa mkoani Morogoro, ninahitaji kuanzisha biashara ya kimkakati ya kuuza supu ya pweza ndani ya eneo la chuo (eneo lipo tayari sio mtaani ni ndani ya viunga vya chuo).
Naomba kwa mwenye dodoso ambazo zitaniongezea kitu hapa anisaidie.
Upatikanaji wa pweza kwa kilo, Bei yake, kuisafirisha toka Dar hadi huku orogoro.
Changamoto zake piah kama zipo nitashukuru nikizijua ile zinisaidie kujiimarisha nianzapo biashara hii
Nawasilisha