Nataka kuanzisha biashara

Nataka kuanzisha biashara

zyuho

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
220
Reaction score
348
Wanajopo natumai niwazima, Kama kichwa kinavyo jitambulisha mi NATAKA kuanza kufanya biashara ya duka kuuliza bidhaa za electrical na electronic sa nahitaji mnijuze kwenu nyinyi ambao mnafanya biashara hi, mnajumua wapi mzigo na changamoto za hi biashara ni zipi . Ahsanteni nyote.
 
Upo Mkoa gani ili wadau wa huko wakushauri.
 
Wanajopo natumai niwazima, Kama kichwa kinavyo jitambulisha mi NATAKA kuanza kufanya biashara ya duka kuuliza bidhaa za electrical na electronic sa nahitaji mnijuze kwenu nyinyi ambao mnafanya biashara hi, mnajumua wapi mzigo na changamoto za hi biashara ni zipi . Ahsanteni nyote.
Electrical items nenda mtaa wa Kibla_Ten Kariakoo zipo nyingi.
 
Back
Top Bottom