Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

Anzisha Chuo cha Ufundi kinachotaka kufanana na Veta ila sio Veta Toa kozi za I.T,Computer science ndo dunia inaelekea uko,,Ususi,Urembo,,Videographer na Gym trainer lakini kama unataka kupiga pesa anzisha izi kozi za kufikirika yaani za kusoma porojo za MABEBERU kama za Afya,Social science,law,education n.k n.k

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Changamoto iliopo hizo kozi za mabeberu ni kwamba zinatolewa na vyuo vya serikali i.e Law, Business Administration, Sociology etc kwaio inakua ngumu kwa mtu kuacha kusoma TIA, CBE aje kusoma kwako Bright Future College...kwaio akianzisha vyuo vya kati inabidi atafute kozi zisizokuwepo huko kwengine apige mzigo yeye mwenyewe..
 
Anzisha chuo cha ufundi diploma na veta then somesha Engineering na icts, pia anzisha na kampuni ya uhandisi inayomilikiwa na chuo, utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom