Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

Changamoto iliopo hizo kozi za mabeberu ni kwamba zinatolewa na vyuo vya serikali i.e Law, Business Administration, Sociology etc kwaio inakua ngumu kwa mtu kuacha kusoma TIA, CBE aje kusoma kwako Bright Future College...kwaio akianzisha vyuo vya kati inabidi atafute kozi zisizokuwepo huko kwengine apige mzigo yeye mwenyewe..
 
Anzisha chuo cha ufundi diploma na veta then somesha Engineering na icts, pia anzisha na kampuni ya uhandisi inayomilikiwa na chuo, utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…