B Bina tony New Member Joined Apr 6, 2020 Posts 2 Reaction score 1 Apr 6, 2020 #1 Nataka kuanzisha duka la vyombo, nipo DSM, isue naitaji kujua wapi naweza kupata bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia unafaa shilingi ngapi?
Nataka kuanzisha duka la vyombo, nipo DSM, isue naitaji kujua wapi naweza kupata bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia unafaa shilingi ngapi?
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Apr 6, 2020 #2 Kuna uzi humu JF unaelezea machimbo ya wafanyabiashara huko kariakoo,u-search uulize wadau humo watakupa majibu boss.
Kuna uzi humu JF unaelezea machimbo ya wafanyabiashara huko kariakoo,u-search uulize wadau humo watakupa majibu boss.