Nataka kuanzisha duka la vyombo. Je, mtaji wa kuanzia unafaaa shilingi ngapi?

Bina tony

New Member
Joined
Apr 6, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Nataka kuanzisha duka la vyombo, nipo DSM, isue naitaji kujua wapi naweza kupata bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia unafaa shilingi ngapi?
 
Kuna uzi humu JF unaelezea machimbo ya wafanyabiashara huko kariakoo,u-search uulize wadau humo watakupa majibu boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…