Kaka
JF-Expert Member
- Nov 22, 2006
- 745
- 372
Wasalaam wana jukwaa,nimejaribu kutafiti biashara hii nimegundua vifaa havina gharama sana kwa scale niliyo amua kuanza nayo,kwam blender ya kawaida ya lita mbili inatosha kuanzia,ges na jiko kwa akil ya blanching na canning,milion moja inatosha, shida hapa ni packeging {vifugasgio} nawaza niende SIDO nikaonane nao kama kutakuwa na koz itabidi niifanye, tatizo jingine ni kuirasimisha, naona milolongo ni mingi wakati mi nataka kuanzisha small scale,
Mkuu,
Hapo kwenye wino uliokolezwa, unaweza kusajili kampuni au jina la biashara (waweza nicheki inbox kwa utekelezaji) na kisha ufuate taratibu za kujisajili kwenye mamlaka nyinginezo ikiwemo Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Madawa (TFDA), bila kujali udogo wa biashara yako yako, kuna faida kuirasimisha.
Kaka ...