Nataka kuanzisha ngo

Ng'wanambula

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
197
Reaction score
54
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha NGO.Ni nini kinatakiwa na ni hatua gani za kufuata ili kuanzisha NGO.NGO nitakayoanzisha nataka iwe ina deal na health, sanitation and hygiene.Nawasilisha wakuu
 
nenda pale wizara ya maendeleo ya jamii idara ya NGO (msajili) watakupa maelekezo yote, utapunguza nenda rudi nenda rudi
 
all you need is just a copy of constitution verified by a lawyer (format utapata pale wizarani), list ya members, muhtasari ulioazimia kufungua ngo, muwe na katibu, mwenyekiti na m/hazina, picha mbili kwa kila hao viongozi, hela ya usajili around 60,000/-.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…