Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili.
Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda.
Nimekuja kwenu kuuliza kupata mawazo na ushauri juu ya utekelezaji wa wazo hili.
Nataka nianze kwa kufanya show ya kwanza ambayo itakuwa ya bure kabisa ili kuwaonyesha watu kitu nilichonacho. hivyo ningependa kujua zaidi kuhusu yafuatayo:
1. Gharama za kukodi ukumbi wa kawaida kwa ajili ya tukio zikoje (mfano watu 500)
2. Gharama za vifaa vya muziki, na watu wa kurekodi video
3. Namna gani ninaweza kupata watu watakaokuja kwenye show yangu ya kwana ikizingatiwa kuwa mimi bado sijulikani.
4. Kama kuna chochote cha ziada ambacho sijakitaja lakini ni cha muhumu.
Location: Dar es salaam