- Thread starter
- #21
Hapana, siichukulii poa. Bali lengo kuu la uzi ni kuomba ushauri. Lakini kwa kuwa wadau wamesema natakiwa kuanza kufanya kwenye platform za chini kwanza, naamini nikianza kufanya nitaweza kushiriki nanyi kazi zangu ili muweze kuziona hapahapa JF.Ukashindwa hata kutuwekea clip ya japo sekunde 30 kutuonyesha hicho unachodai unacho ama hii platform ya jamiiforam unaichukulia baridi