S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,329 Reaction score 2,644 Oct 29, 2024 Thread starter #21 Gidamnyoda said: Ukashindwa hata kutuwekea clip ya japo sekunde 30 kutuonyesha hicho unachodai unacho ama hii platform ya jamiiforam unaichukulia baridi Click to expand... Hapana, siichukulii poa. Bali lengo kuu la uzi ni kuomba ushauri. Lakini kwa kuwa wadau wamesema natakiwa kuanza kufanya kwenye platform za chini kwanza, naamini nikianza kufanya nitaweza kushiriki nanyi kazi zangu ili muweze kuziona hapahapa JF.
Gidamnyoda said: Ukashindwa hata kutuwekea clip ya japo sekunde 30 kutuonyesha hicho unachodai unacho ama hii platform ya jamiiforam unaichukulia baridi Click to expand... Hapana, siichukulii poa. Bali lengo kuu la uzi ni kuomba ushauri. Lakini kwa kuwa wadau wamesema natakiwa kuanza kufanya kwenye platform za chini kwanza, naamini nikianza kufanya nitaweza kushiriki nanyi kazi zangu ili muweze kuziona hapahapa JF.