Nataka kuanzisha tovuti kwa ajili ya addiction ili tuweze peana uzoefu wa kukabiliana nao

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu

Addiction kama
1.punyeto
2.ulevi
3.uvutaji sigara
4.kuangalia porn
5.uvivu
6.kuwaza ngono all time(uzinzi)

N.k

Kwakuwa sina pesa nitaanza na free host + subdomain

Ila nataka kujua ni wazo jema au nikupoteza muda
Kama ni zuri jina gani unasaggest maana nimeshindwa kupata jina sahihi

NAWASILISHA
Ahsanteni kwa maoni yenu na sasa nimuda wa kuondoka na utumwa huu wa addictions mbalimbali

Tayarii mzigo upo hewani nimuda wenu sasa kujaribu na kunipa maoni yenu nini niongeze au kipunguwe na kupanga uongozi wa jukwaa jamani siasa tuziache huku kule ni kusaidiana kuwa free from addiction
Click

https://tangatalk.epizy.com
 
Wazo zuri sana, ila nakushauri usianzishe tovuti, kwa sababu aina ya tovuti unayoitaka ni gharama sana hasa kama huna ujuzi wa Web Development, hasa kwenye back-end maana ili hiyo tovuti watu waweze kuchangia utahitaji database na vitu vingine vingi.

Badala yake tumia website zinazotoa space kutengeneza forums. Tumia Forumotion utapata kitu kama JF bila gharama zozote ikiwa inahusika na mada zinazohusu addiction tu.

Hii idea yako ni nzuri sana, nasema kwa mara nyingine kwasababu mimi binafsi porn addiction ilinitesa sana.

Hii 2023 napambana na Social Media addiction. Nimeanza na 30 days hopefully nitakaa miezi mingi zaidi bila SM. Malengo yangu siyo kuacha kabisa kutumia Social Media ila sitaki SM ichukue full control ya maisha yangu.

Ukikwama mahali nicheki naweza kukusaidia ku-set up hiyo forum. Mimi ni Web Developer na hilo wazo lako litasaidia wengi sana kwasababu itakuwa ni kwa lugha yetu ya kiswahili.

Yapo majukwaa maarufu kama NoFap inabidi na sisi tuwe na letu kwa lugha yetu.
 
Wazo zuri sana, ila nakushauri usianzishe tovuti, kwa sababu aina ya tovuti unayoitaka ni gharama sana hasa kama huna ujuzi wa Web Development, hasa kwenye back...
Mkuu ninaujuzi sana na haya mambo ninataka kuhost mwenywe na kila kitu baada ya miezi miwili kama kutakuwa na muitikio nitaupgrade na kuongeza features
 
Hii idea yako ni nzuri sana, nasema kwa mara nyingine kwasababu mimi binafsi porn addiction ilinitesa sana...
Mkuu mimi pia ni developer ila nitaanza na software ya phpbb kisha nitakapo pata pesa kidogo nitawela xenforo nayo ninayo ila kwasababu free host kutumia software ya gharama ni jau

Kama utapenda ninaweza kukupa uadmin ili tuunge nguvu
 
We uanzishe website ya kazi gani? JF inatosha.

Website hadi ijulikane ipate watembeleaji sio kazi ndogo.

Ila JF ipo vizuri sababu unaanzsha uzi tu, watu wana share experience zao.

Mfano kuna uzi mmoja wa watu wanaosumbuliwa na madeni una comments nyingi sana.

Watu kufilisika pia una wachangiaji wengi

JF ina advantage ya kufahamika na watu kutumia ID fake, ambayo ni perfect kwa ajili ya ku share personal experience bila kuogopa kunyanyapaliwa.

P
 
Naunga mkono hili wazo ni zuri sana.... Kwa maana hii kitu ni shida sana hasa Unyanyasaji Pombe wa kuzidi na vivu nao ni changamoto kubwa sana kwa vijana.....
 
Mkuu mimi pia ni developer ila nitaanza na software ya phpbb kisha nitakapo pata pesa kidogo nitawela xenforo nayo ninayo ila kwasababu free host kutumia software ya gharama ni jau

Kama utapenda ninaweza kukupa uadmin ili tuunge nguvu
Tuko pamoja, ukishaweka mambo sawa nicheki tu. Mimi nafanya pamoja na Logo & brand identity design so ukihitaji branding ya hiyo project nitasaidia.
 
Hii idea yako ni nzuri sana, nasema kwa mara nyingine kwasababu mimi binafsi porn addiction ilinitesa sana.

Hii 2023 napambana na Social Media addiction. Nimeanza na 30 days hopefully nitakaa miezi mingi zaidi bila SM. Malengo yangu siyo kuacha kabisa kutumia Social Media ila sitaki SM ichukue full control ya maisha yangu.

Ukikwama mahali nicheki naweza kukusaidia ku-set up hiyo forum. Mimi ni Web Developer na hilo wazo lako litasaidia wengi sana kwasababu itakuwa ni kwa lugha yetu ya kiswahili.

Yapo majukwaa maarufu kama NoFap inabidi na sisi tuwe na letu kwa lugha yetu.
Nilikua na Addiction na Twitter na Jf Ila nilivyoanza kua bize ile siriazi na kazi haipo Tena,,mi naona ukiwa na shuguli na ukawa bize nayo moja ya njia ya kupiteza addiction japo sio zote
 
sawa kila la kheri

Wazo zuri sana, ila nakushauri usianzishe tovuti, kwa sababu aina ya tovuti unayoitaka ni gharama sana hasa kama huna ujuzi wa Web Development...

OK! Fanya hivyo ni jambo zuri sana na itasaidia watu hasa vijana wenye addiction mbalimbali kusaidiana kimawazo na kukimbia addiction walizo nazo.

We uanzishe website ya kazi gani? JF inatosha
Website hadi ijulikane ipate watembeleaji sio kazi ndogo
Ila JF ipo vizuri sababu unaanzsha uzi tu, watu wana share experience zao.
Mfano kuna uzi mmoja wa watu wanaosumbuliwa na madeni una comments nyingi sana
Watu kufilisika pia una wachangiaji wengi

JF ina advantage ya kufahamika na watu kutumia ID fake, ambayo ni perfect kwa ajili ya ku share personal experience bila kuogopa kunyanyapaliwa
P

Naunga mkono hili wazo ni zuri sana.... Kwa maana hii kitu ni shida sana hasa Unyanyasaji Pombe wa kuzidi na vivu nao ni changamoto kubwa sana kwa vijana.....

Tuko pamoja, ukishaweka mambo sawa nicheki tu. Mimi nafanya pamoja na Logo & brand identity design so ukihitaji branding ya hiyo project nitasaidia.

Sisi wa Kubeti usitusahau kwenye

Nitakutafuta japo skills zote ninazo

Nilikua na Addiction na Twitter na Jf Ila nilivyoanza kua bize ile siriazi na kazi haipo Tena,,mi naona ukiwa na shuguli na ukawa bize nayo moja ya njia ya kupiteza addiction japo sio zote
Tayarii mzigo upo hewani nimuda wenu sasa kujaribu na kunipa maoni yenu nini niongeze au kipunguwe na kupanga uongozi wa jukwaa jamani siasa tuziache huku kule ni kusaidiana kuwa free from addiction
Click

Hii idea yako ni nzuri sana, nasema kwa mara nyingine kwasababu mimi binafsi porn addiction ilinitesa sana.

Hii 2023 napambana na Social Media addiction. Nimeanza na 30 days hopefully nitakaa miezi mingi zaidi bila SM. Malengo yangu siyo kuacha kabisa kutumia Social Media ila sitaki SM ichukue full control ya maisha yangu.

Ukikwama mahali nicheki naweza kukusaidia ku-set up hiyo forum. Mimi ni Web Developer na hilo wazo lako litasaidia wengi sana kwasababu itakuwa ni kwa lugha yetu ya kiswahili.

Yapo majukwaa maarufu kama NoFap inabidi na sisi tuwe na letu kwa lugha yetu.
Kuna ukweli wowote kwama watu wengi wa IT na developers mna addiction za Porn na Punyeto
 
Back
Top Bottom