Nataka kuanzisha tovuti kwa ajili ya addiction ili tuweze peana uzoefu wa kukabiliana nao

Mkuu mimi pia ni developer ila nitaanza na software ya phpbb kisha nitakapo pata pesa kidogo nitawela xenforo nayo ninayo ila kwasababu free host kutumia software ya gharama ni jau

Kama utapenda ninaweza kukupa uadmin ili tuunge nguvu
Nimeona hio web Ina vibe ileile ya JF tatizo lenu nyie developer bado hamujui nafasi ya deaigner kwa idea hio ilitakiwa isiwe na vibe ya jaf pia zaidi pia ilitakiwa isiwe na feature ya kijadiri tu bali ficha kadhaa za progress za victims husika in yerm of graph n number hii ingekuwa Ni driven feature wao kuweza kushea baina yao kuonesha milestones na hata ingesaidia platform kujitangaza yenyewe victim au user aki screenshot na kushea nje ya platform, pia kulitakiwa kuwe na feature nyengine ya system administrator kuweka solution na contents zenye msaada zaidi....hii plafrm ilibidi ijitegemee Kama App kwaajiri ya addicts tu

Kingine Marketing Strategy ujaichukulia serious
 
Poa ngoja nitulie nitengenezee extension hapo
 
Back
Top Bottom