Kwacha 5 ni Shilingi 15 ya Tanzania na Miticais 5 ni Shilingi 181.27 za Tanzania so ukijumlisha unapata Sh 196.27/=Habari ndugu zanguni wana jf,nina sarafu 3,mbili ni hela za msumbiji miticals 5,na kwacha 5 je ni kiasi gani icho
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] anajipatia andazi moja na pipi ya ivory Maisha yanaendeleaKwacha 5 ni Shilingi 15 ya Tanzania na Miticais 5 ni Shilingi 181.27 za Tanzania so ukijumlisha unapata Sh 196.27/=
Jamaa kafanya kitu muhimu sana kupita JF ,maana asingeamini pale bureau de change jamaa angempa sh 200 na bado mhudumu akadai chenjiKwacha 5 ni Shilingi 15 ya Tanzania na Miticais 5 ni Shilingi 181.27 za Tanzania so ukijumlisha unapata Sh 196.27/=
ππππHaaaahaaaaaahaaaaaaa jamaa alizan anapesa ya ku buy hata carina kumbe andaz moko na kapipi da life is not fair wajamen
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaaahaaaaaahaaaaaaa jamaa alizan anapesa ya ku buy hata carina kumbe andaz moko na kapipi da life is not fair wajamen