Nataka kubadili pesa lakini sijui thamani zake nina Miticais 5 zipo 2 na kwacha 5 ya malawi

Nataka kubadili pesa lakini sijui thamani zake nina Miticais 5 zipo 2 na kwacha 5 ya malawi

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari ndugu zanguni wana jf,nina sarafu 3,mbili ni hela za msumbiji miticals 5,na kwacha 5 je ni kiasi gani icho
 
Si u google tu utapata thamani yake mkuu kila kitu kipo mkononi mwako Mzungu kakurahisishia kila kitu
 
Kwatcha 5 inatosha kupata soda ukiwa Lilongwe na hiyo ya Maputo ndio humo humo...
 
Back
Top Bottom