Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.

Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.

Ni size gani itafaa?

Sitaki tairi za Kichina.
 
Achana na fashion, tyre beyond manufacturer recommendation zinaathiri performance ya gari moja kwa moja. Stick na manufacturer's recommendation/specification.
Angalia kwenye nguzo ya mlango wa dereva kuna hizo specs hadi tyre pressure badala ya kukomaa na 35/40 ya mafundi wetu.
 
Hizi IST si ndio hizi Makonda alisema ni za kuhonga?
 
Achana na fashion, tyre beyond manufacturer recommendation zinaathiri performance ya gari moja kwa moja. Stick na manufacturer's recommendation/specification.
Angalia kwenye nguzo ya mlango wa dereva kuna hizo specs hadi tyre pressure badala ya kukomaa na 35/40 ya mafundi wetu.
Nadhani ujanielewa, walio nielewa watanijibu.
 
Wasikudanganye watu humu ndani mimi nimebadili rim ya gari ist kama yako hakuna chochote kilichotokea na gari inapigishwa kazi balaa. Nimeweka saiz16 sport rim.

Weka rim kali gari ipendeze achana na watu watakao kwambia sijui inaharibu perfomance wambie waje na evidence. HAINA MADHARA yoyote. Weka size16 ndo ipo vzr sana.
 
unaeleweshwa unakaza fuvu

gari inatakiwa iweke tair size 16 kwa 195 we unataka uweke 16 kwa 205 unaambiwa itaafect performance unasema ajakuelewa.

Hao waliokuelewa hawaji
Jinga kabisa, inawezekana hata baiskeli huna.

Walionielewa mbona wamekuja.

Unafahamu Nissan Xtrail. Unajua size ya tairi inayotakiw?

Hapa Bongo size ya tairi ya Xtrail huwezi kuzipata sababu wauzaji wananunua tairi ambazo zitafiti kwenye magari mengi ya RAV4, Harrier nk.
 
Wasikudanganye watu humu ndani mimi nimebadili rim ya gari ist kama yako hakuna chochote kilichotokea na gari inapigishwa kazi balaa. Nimeweka saiz16 sport rim.

Weka rim kali gari ipendeze achana na watu watakao kwambia sijui inaharibu perfomance wambie waje na evidence. HAINA MADHARA yoyote. Weka size16 ndo ipo vzr sana.
Yangu rim yake ni sport size ekuja nayo ila nataka kubadili tairi kuweka kubwa kidogo
 
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.

Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.

Ni size gani itafaa?

Sitaki tairi za Kichina.
Unafunga R16 kwenye IST?
Hiyo gari tairi yake ni R14
 
IST OLD Model inakuja na 185/65R/15 so ukiweka 195/65R/15 sio mbaya

IST NEW model inakuja na hyo 195/60R/16 ukisogeza hadi 205 not bad ila zaidi ya hapo jau kwanza tair itatoka nje ya bodi ukikunja kona linagusa
 
unaeleweshwa unakaza fuvu

gari inatakiwa iweke tair size 16 kwa 195 we unataka uweke 16 kwa 205 unaambiwa itaafect performance unasema ajakuelewa.

Hao waliokuelewa hawaji
Performance itakuaje em tuelezee wewe..tufafanulie
 
Hivi ile ist yenye 4wD nj optional au ipo on muda wote
 
Back
Top Bottom