Achana na fashion, tyre beyond manufacturer recommendation zinaathiri performance ya gari moja kwa moja. Stick na manufacturer's recommendation/specification.Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Hizi IST si ndio hizi Makonda alisema ni za kuhonga?Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Nadhani ujanielewa, walio nielewa watanijibu.Achana na fashion, tyre beyond manufacturer recommendation zinaathiri performance ya gari moja kwa moja. Stick na manufacturer's recommendation/specification.
Angalia kwenye nguzo ya mlango wa dereva kuna hizo specs hadi tyre pressure badala ya kukomaa na 35/40 ya mafundi wetu.
unaeleweshwa unakaza fuvuNadhani ujanielewa, walio nielewa watanijibu.
Jinga kabisa, inawezekana hata baiskeli huna.unaeleweshwa unakaza fuvu
gari inatakiwa iweke tair size 16 kwa 195 we unataka uweke 16 kwa 205 unaambiwa itaafect performance unasema ajakuelewa.
Hao waliokuelewa hawaji
Yangu rim yake ni sport size ekuja nayo ila nataka kubadili tairi kuweka kubwa kidogoWasikudanganye watu humu ndani mimi nimebadili rim ya gari ist kama yako hakuna chochote kilichotokea na gari inapigishwa kazi balaa. Nimeweka saiz16 sport rim.
Weka rim kali gari ipendeze achana na watu watakao kwambia sijui inaharibu perfomance wambie waje na evidence. HAINA MADHARA yoyote. Weka size16 ndo ipo vzr sana.
Yangu rim yake ni sport size ekuja nayo ila nataka kubadili tairi kuweka kubwa kidogo
Ni 16
Unafunga R16 kwenye IST?Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana.
Ni size gani itafaa?
Sitaki tairi za Kichina.
Labda jamaa naye kahongwaHizi IST si ndio hizi Makonda alisema ni za kuhonga?
Performance itakuaje em tuelezee wewe..tufafanulieunaeleweshwa unakaza fuvu
gari inatakiwa iweke tair size 16 kwa 195 we unataka uweke 16 kwa 205 unaambiwa itaafect performance unasema ajakuelewa.
Hao waliokuelewa hawaji