Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira portal....nimeweka cheti ammbacho hakiko certified ...sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na Edit basi