Nataka kubadilisha cheti Ajira Portal

Nataka kubadilisha cheti Ajira Portal

joangg

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
18
Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira Portal. Nimeweka cheti ambacho hakiko certified.

Sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na edit basi.
 
Nenda ofis zao hyo option ya kedelete haipo
 
Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira portal....nimeweka cheti ammbacho hakiko certified ...sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na Edit basi
IMG-20240716-WA0003.jpg
IMG-20240716-WA0004.jpg
 
Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira portal....nimeweka cheti ammbacho hakiko certified ...sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na Edit basi
Edit pakia hiko kipya
 
Back
Top Bottom