Nataka kubadilisha Dola

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,891
Reaction score
1,214
Habari za asubuhi wana bodi, mimi nna dollar 1000 ya Marekani ya mwaka 2003. Je, Ntabadilishiwa kwa kiwango cha sasa cha dollar au vipi, na ntapata wapi Bureau de Change yenye rates nzuri?

Nawasilisha wakuu.
 
itategemea unaaina gani dola 10,50,100 huwa zinakuwa na tofauti,kwa sasa kuiuza wastani wake ni 1800-1920 tshs,itategemea na bank,ila ukienda soko jeusi(black market ni poa zaidi zinauzwa hadi 2000
 
Habari za asubuhi wana bodi, mimi nna dollar 1000 ya Marekani ya mwaka 2003. Je, Ntabadilishiwa kwa kiwango cha sasa cha dollar au vipi, na ntapata wapi Bureau de Change yenye rates nzuri?

Nawasilisha wakuu.

Umeandika ujinga mkuu hakuna note ya U$D 1000 highest note ni ya Dollar 100 na kama unazo hizo dollar exchange rates ni 2000×1000= Tshs. 2,000,000 Million
 
Consult Beno Ndulu!
 
Umeandika ujinga mkuu hakuna note ya U$D 1000 highest note ni ya Dollar 100 na kama unazo hizo dollar exchange rates ni 2000×1000= Tshs. 2,000,000 Million

Mjinga bibi ako kama huna msaaada kalsha puu yako chin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…