Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za asubuhi wana bodi, mimi nna dollar 1000 ya Marekani ya mwaka 2003. Je, Ntabadilishiwa kwa kiwango cha sasa cha dollar au vipi, na ntapata wapi Bureau de Change yenye rates nzuri?
Nawasilisha wakuu.

Umeandika ujinga mkuu hakuna note ya U$D 1000 highest note ni ya Dollar 100 na kama unazo hizo dollar exchange rates ni 2000×1000= Tshs. 2,000,000 Million
mhhh are you sure??