Nataka kubadilisha jina la ukoo!

wakuu sasa napotea kimoja. naomba mnimiss especially wewe lizzy na keren happuch kwasababu mimi nikiwa siwamiss nakuwa naonana na daktari ili niwamiss. infakti kuwamiss nyinyi ni moja ya hobbies zangu. kamanda uporoto gud nite aisee, acha nisepe!

Usku mwema Klorokwin..hope to see you soon! Usisubirie mpaka tuumwe ndo urudi!
 
Jamani nyie watoto mlale sasa, mnakesha kutafuta wanaume huku jf, nimelala hadi nikaota niko na wewe tumefunga ndoa juu ya mlima kilimanjaro ... Nikiamka nitakuambia maneno yote achana na kina cpu, mpendwa, mdogo wa michel nk.
 
Lizzy na wewe umejiunga kwenye game la kutafuta waume! Umri wako unakuruhusu kusubirisubiri bwana, haraka za nini? siku zikifika, mtu atapatikana tu. Be cool
 
Liz please niandikie kangaparty@yahoo.co.uk niko tayari,vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Jamani Lizzy, nina bro wangu naona anakufaa kwa vigezo ulivyoviandika..lo
 
Jamani nyie watoto mlale sasa, mnakesha kutafuta wanaume huku jf, nimelala hadi nikaota niko na wewe tumefunga ndoa juu ya mlima kilimanjaro ... Nikiamka nitakuambia maneno yote achana na kina cpu, mpendwa, mdogo wa michel nk.

Nani anaetafuta wanaume?
 
Lizzy na wewe umejiunga kwenye game la kutafuta waume! Umri wako unakuruhusu kusubirisubiri bwana, haraka za nini? siku zikifika, mtu atapatikana tu. Be cool

FP maandalizi mapema mama!Naogopa kuzeeka mwenyewe kwahiyo bora aje mapema tule ujana pamoja badala ya kuanza uzeeni!
 
Lizzy my dear... If I had a young brother who is ready and matured, i would definitely push him over you

you are mature and kind, na if your age is 23, basi mama hongera sana, your wisdom kwenye jukwaa letu ni wa hali ya juu sana

Stay blessed
 
Oh so sweet!Thank you dear!Be blessed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…