Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
wakuu sasa napotea kimoja. naomba mnimiss especially wewe lizzy na keren happuch kwasababu mimi nikiwa siwamiss nakuwa naonana na daktari ili niwamiss. infakti kuwamiss nyinyi ni moja ya hobbies zangu. kamanda uporoto gud nite aisee, acha nisepe!
Usku mwema Klorokwin..hope to see you soon! Usisubirie mpaka tuumwe ndo urudi!