Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Wife wangu anavyonipenda, ninavyompenda, na kubwa zaidi TUNAVYOPENDANA hawezi hata kuthubutu akaPM dawa zilizopitwa na wakati

Asante hubby kwa kunijua na kuniamini!Kloro anaona wivu maana hajawahi kupendwa!
 
ukiacha hizo kitu haupati ubunge sku hizi. acha nitimize malengo kwanza. hivi uporoto asharudi loliondo?

Basi na kupendwa mpaka uzeeke...that is kama kuna mtu anataka mzee tena mwenye kitambi!Mmh bado anaoga dawa siku tatu kabla ya kuondoka!
 
Hahaha! siendi Loliondo mimi huwa situmii dawa za mitishamba dawa zangu za hospitali tu.
 
Hahaha! siendi Loliondo mimi huwa situmii dawa za mitishamba dawa zangu za hospitali tu.

Kweli Uporoto ndivyo alivyo!Kwasababu tu mzungu kasaga majani yakawa vidonge unakataa asili!
 
Tumechafua uzi wa watu kule, ukaniachia msala ukatoka nduki kama yote hivi, come tu make agreement here, tuachane na nyuzi za watu mana wenyewe wakari kama nyuki.
Good morning.
cc Sakayo
 
Asante kwa hilo mana nilijikuta nacheka siku nzima, kumbe kuna watu wana tu zoom tu.
Ingawa kuna umuhimu wa ku seal our conversation and I hope time is now,
Au we unaonaje.
Huh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…