Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Mkuu subiri ajibu mwenyewe... siku hizi wengi wanapenda!!! Eti Lizzy hupendi???:A S 13:

Mkuu, ameshajibu. Kasema hataki kuwekewa chai kwenye chumvi . . . . aaaaaah anamaanisha chumvi kwenye chai
 
Jamani msimfanyie mzaha lizzy. Mi nakapenda, ningekuwa mwanaume pm yangu ingekuwa ya kwanza.
All the best dear. Utupe feedback.

mi mwenyewe nimesema hivyo hivyo kwenye roho yangu.....Lizzy nina kaka yangu? weka kigezo cha umri basi dearest?
 
Jamani msimfanyie mzaha lizzy. Mi nakapenda, ningekuwa mwanaume pm yangu ingekuwa ya kwanza.
All the best dear. Utupe feedback.
Jamani Hus umenifurahisha sana mpnz!Mwenyewe nakupenda bila kikomo!
 
kweli dearest,huwezi jua....nahisi kama huu ndo mwaka wangu wa kutoka....na hivi umeonyesha njia basi twaweza toka wote.....l.o.l
Tunatoana ili tusioneane wivu dearest!Hamna kutesa kwa zamu...tunatesa pamoja!
 
mi mwenyewe nimesema hivyo hivyo kwenye roho yangu.....Lizzy nina kaka yangu? weka kigezo cha umri basi dearest?
Dearest yani as long as the man is capable of loving me..i'm good!Umri ni namba tu!
 
CPU anazunguka weeee....muelewe tu Lizzy ndo type zileeeee (haziko direct,hadi u read between the lines) ....l.o.l

Mmh kuridi bitwini ze laini sitaki dearest!Siku akinichoka ataniambia mtu mwenyewe ulijipendekeza bila hata kutamkiwa!
 
Back
Top Bottom