mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Nenda kkoo, aggrey mafundi kibao.ndugu zangu habari za muda huu? naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung...
kunafundi unaye mfahamu. maana k koo si unaijua kupigwa nje nje mkuu.Nenda kkoo, aggrey mafundi kibao. Garama inategemea watakuangaliaje tu ila inaweza range 20 hadi 40 hapo.
Kama unawaza kupigwa sasa hata mimi si naweza kukupiga tu mana hunijui. Kupigwa uzembe wako tu.kunafundi unaye mfahamu. maana k koo si unaijua kupigwa nje nje mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata za kichina hawezi pata kwa 20 au 40 mkuu Samsung sio sawa na technoNenda kkoo, aggrey mafundi kibao. Garama inategemea watakuangaliaje tu ila inaweza range 20 hadi 40 hapo. Ama tena nenda machinga complex kule.
Ila ujue wanaweka cha kichina. Vinakuwa kama vina kimpauko kwa mbali screen haiwi dark kama kioo original.
Samsung OG ni zaidi ya 70k hadi 100k na kama unataka OG inakulazimu kwenda duka la samsung.
Kuna fundi simu mahiri huku fukua nyuzi zake...umeandikwa....mafundi simu tukutane
Hii unaona hapo nimeshabadilisha mara tatu, ya kwanza jamaa alikula 40, ya pili akala 30 ya tatu akala 20. Imepasuka tena nimeamua kuwaachia watoto wahangaike nayo.Hata za kichina hawezi pata kwa 20 au 40 mkuu Samsung sio sawa na techno
Kwa hiyo hiki kitakuwa kizuriA30 ni Amoles tena Full HD kioo bei yake itakua hela ndefu, pengine ikafika laki 2 hadi 3 Genuine.
Otherwise zipo lcd ambazo watu wanachakachua around 30k, unaweza cheki Aliexpress ama Kkoo.
Kwa hiyo bei si bora sasa ukawekewe samsung wanaweka kwa roughly 140,000 hadi 170,000.Kwa hiyo hiki kitakuwa kizuri View attachment 2559577
Kumbe!Kwa hiyo bei si bora sasa ukawekewe samsung wanaweka kwa roughly 140,000 hadi 170,000.
A30 ni A305 hii ni A30s A307 simu mbili tofauti. Pia waweza ukawekewa bei kubwa wakakupiga vile vile, Amoled mpaka uitest mwenyeweKwa hiyo hiki kitakuwa kizuri View attachment 2559577
Kwa A30 lakini sio kwa model zote. Kuna vioo vya hadi laki6.Kumbe!
Nina swali nje ya mada kama betri 4000mAmp imekufa, je nikitaka kubadilisha battery naweza weka battery ya 5000mAmp kwenye simu hiyo hiyo?A30 ni A305 hii ni A30s A307 simu mbili tofauti. Pia waweza ukawekewa bei kubwa wakakupiga vile vile, Amoled mpaka uitest mwenyewe
Unaweza ila nyingi feki so zina heat ila ukipata original inakaa poa japo inachukua muda zaid kuicharge mpaka ijae. Pia watengeneza simu wengi hawashauri kufanya jambo hilo.Nina swali nje ya mada kama betri 4000mAmp imekufa, je nikitaka kubadilisha battery naweza weka battery ya 5000mAmp kwenye simu hiyo hiyo?
Unaweza ila sio simu zote. Pia zipo battery fake wanaweza kukuambia 5000mah kumbe uhalisia ni 3000mah ikawa ukaaji chaji mbaya kuliko 4000mah ya mwanzo.Nina swali nje ya mada kama betri 4000mAmp imekufa, je nikitaka kubadilisha battery naweza weka battery ya 5000mAmp kwenye simu hiyo hiyo?