Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
Kwa hii bei bora ununue samsung a30 usedKwa hiyo hiki kitakuwa kizuri View attachment 2559577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hii bei bora ununue samsung a30 usedKwa hiyo hiki kitakuwa kizuri View attachment 2559577
Vioo mkuu ni vile vile, kinachofanya kivunjike ama kisivunjike ni structure ya simu.Vioo vya Samsung viko delicate sana sijui wanafanya makusudi, nilikuwaga na J7 ilinitesa sana nilivyobadili kioo mara ya mwisho nikaiuza!
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimeambiwa a30s kioo chake bei ni 70k original,hivi ni sawa ama napigwa?Vioo mkuu ni vile vile, kinachofanya kivunjike ama kisivunjike ni structure ya simu.
Simu yenye bezel juu na Chini ni likely kioo kikadumu sana, simu flat ni ngumu kuliko yenye curve, simu yenye Alluminium frame na Plastic ni ngumu pia etc.
View attachment 2559789
Umeona simu kama hio mwaka wa 6 unakaribia haina protector wala cover, Angle hizo zishadunda chini mara kibao ila the way ilivyotengenezwa kioo kimelindwa sana.
Kama unataka Simu kazi kazi ambayo inadumu sana toka samsung cheki Active ama Xcover models.
Sina uhakika mkuu pengine ikawa sawa ama kikawa feki, i hope unajua kutofautisha Amoled na LCD mkuu, maana hio simu ni amoled.Mkuu nimeambiwa a30s kioo chake bei ni 70k original,hivi ni sawa ama napigwa?
Hao unaosema samsung wananunua hapahapa kariakoo,kweli ushamba mzigoNenda kkoo, aggrey mafundi kibao.
Garama inategemea watakuangaliaje tu ila inaweza range 20 hadi 40 hapo.
Ama tena nenda machinga complex kule.
Ila ujue wanaweka cha kichina. Vinakuwa kama vina kimpauko kwa mbali screen haiwi dark kama kioo original.
Samsung OG ni zaidi ya 70k hadi 100k na kama unataka OG inakulazimu kwenda duka la samsung.
Spare zipo njoo dukani kwetu upate original,tatizo watanzania mnapenda vya bei nafuuu.Nimegundua hapa bongo kupata spare original kama iliyokuja na kifaa chako ni kazi sana
Kioo 70,000Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi hakioneshi kitu. hivyo, nalazimika kutaka kuibadili display ili simu yangu ipate kurudi katika ubora wake.
Naomba kupata msaada wa wapi ninaweza kubadili hii display na gharama zake kwa hapa dar es salaam.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hamna kitu unaambiwa original ukifika display unazoonyeshwa hata hazifanani na iliyokuja na simuSpare zipo njoo dukani kwetu upate original,tatizo watanzania mnapenda vya bei nafuuu.
0715378899 njoo tukufungie kioo original na safi kabisa
A30 70,000
A50/51 bei 130,000
S10 bei 330,000
Nakuendelea
Ushamba mzigoHamna kitu unaambiwa original ukifika display unazoonyeshwa hata hazifanani na iliyokuja na simu
Kioo grade one og andaa si chini ya 60k ila haizid 85kNdugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi hakioneshi kitu. hivyo, nalazimika kutaka kuibadili display ili simu yangu ipate kurudi katika ubora wake.
Naomba kupata msaada wa wapi ninaweza kubadili hii display na gharama zake kwa hapa dar es salaam.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
BADIRISHER TU KWANI HADI UTUSHIRIKISHE?? INGEKUWA UNABADIRISHA GARI SI NDO UNGETANGAZA HADI KWENYE GAZETI LA SERIKALI[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi hakioneshi kitu. hivyo, nalazimika kutaka kuibadili display ili simu yangu ipate kurudi katika ubora wake.
Naomba kupata msaada wa wapi ninaweza kubadili hii display na gharama zake kwa hapa dar es salaam.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hizo cm huwa zina finger print kwenye kioo kama sijakosea kwahyo msisitize fundi aweke kioo ambacho kitasapot hiyo finger print.Ndugu zangu habari za muda huu?