Nataka kubadilisha kioo display ya simu ya samsung A30

Vioo vya Samsung viko delicate sana sijui wanafanya makusudi, nilikuwaga na J7 ilinitesa sana nilivyobadili kioo mara ya mwisho nikaiuza!

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Vioo mkuu ni vile vile, kinachofanya kivunjike ama kisivunjike ni structure ya simu.

Simu yenye bezel juu na Chini ni likely kioo kikadumu sana, simu flat ni ngumu kuliko yenye curve, simu yenye Alluminium frame na Plastic ni ngumu pia etc.


Umeona simu kama hio mwaka wa 6 unakaribia haina protector wala cover, Angle hizo zishadunda chini mara kibao ila the way ilivyotengenezwa kioo kimelindwa sana.

Kama unataka Simu kazi kazi ambayo inadumu sana toka samsung cheki Active ama Xcover models.
 
Mkuu nimeambiwa a30s kioo chake bei ni 70k original,hivi ni sawa ama napigwa?
 
Hao unaosema samsung wananunua hapahapa kariakoo,kweli ushamba mzigo
 
Nimegundua hapa bongo kupata spare original kama iliyokuja na kifaa chako ni kazi sana
 
Nimegundua hapa bongo kupata spare original kama iliyokuja na kifaa chako ni kazi sana
Spare zipo njoo dukani kwetu upate original,tatizo watanzania mnapenda vya bei nafuuu.

0715378899 njoo tukufungie kioo original na safi kabisa
A30 70,000
A50/51 bei 130,000
S10 bei 330,000
Nakuendelea
 
Kioo 70,000

0687558785
 
Spare zipo njoo dukani kwetu upate original,tatizo watanzania mnapenda vya bei nafuuu.

0715378899 njoo tukufungie kioo original na safi kabisa
A30 70,000
A50/51 bei 130,000
S10 bei 330,000
Nakuendelea
Hamna kitu unaambiwa original ukifika display unazoonyeshwa hata hazifanani na iliyokuja na simu
 
Kioo grade one og andaa si chini ya 60k ila haizid 85k
 
BADIRISHER TU KWANI HADI UTUSHIRIKISHE?? INGEKUWA UNABADIRISHA GARI SI NDO UNGETANGAZA HADI KWENYE GAZETI LA SERIKALI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo cm huwa zina finger print kwenye kioo kama sijakosea kwahyo msisitize fundi aweke kioo ambacho kitasapot hiyo finger print.
Kingine, huwa simu za Samsung japo sio zote, zikibadilishwa kioo huwa zinapoteza sensitivity ya pale juu ambayo wakat wa kuongea ukiweka cm sikioni inasleep ili isijitouch wakat wa kuongea so pia umsisitize fundi azingatie hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…