miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,072
- 1,021
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipisi vya sigala,.
hivi unaelewa maana ya neno kuenzi,Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
Am afraid hii ni kazi ya ramli chonganishi bwana mganga..!!Unamchulia hatakaa ajifungue na akijifungua wote mtakuwa na vitambi kama wajawazito
Watu waelewe kwamba hiyo ni familia ya watu wasojitambua.Sasa mkuu na wazazi wenu hasa mama zenu nao wapite sehemu wamevaa matshirt yameandikwa "MKE WANGU NI MJAMZITO" watu watawaelewaje??
HakikaWatu waelewe kwamba hiyo ni familia ya watu wasojitambua.
Kwako Kipenzi karmaHakika
kupanaia ivyo mtoto anaweza kufia tumboniMke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
Asante, wanadamu tumeagizwa upendo.Kwako Kipenzi karma
excuse my Handwriting
"Unaweza Ukafunga Macho Kwa Usilolitaka Kuliona Lakini Hauwez Kufunga Moyo Wako Kwa Unalolipenda."
- Moyo Wangu Umeshindwa Kujizuia Kukiri Kuwa Nakupenda. Uwe Na Siku njema.
Nakupenda Bae
Dada ni nini mbona jibu kavu hivii??Asante, wanadamu tumeagizwa upendo.
ndo mimba yangu ya kwanza
[emoji23][emoji23]hapana mbona jibu mubashara kabisa hiloDada ni nini mbona jibu kavu hivii??
Tell us moreYou love me but i don't love you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daahOooh kumbe wewe ndo mjamzito...!! [emoji848][emoji848]