Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa
naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
hivi unaelewa maana ya neno kuenzi,
Kumuenzi mkeo ambaye ni mjamzito kama ulivyosema
 
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa

naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
kupanaia ivyo mtoto anaweza kufia tumboni
 
Back
Top Bottom