Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa

naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
Ukishajua jinsia yake mtafutie jina mtoto mfano Happy, then kaprint tshirt yako na mkeo then andika

"wellcome Happy mom & dad loves you"

ile siku mke wako anajifungua mnavaa huku yeye akiwa kitandani na wewe umejisogeza kwa pembeni huku mkiwa mme kabeba katoto kenu. Hii picha itabeba kumbukumbu kubwa ata Happy akikua ataona jinsi gani ulifurahia ujio wake.
 
nimepokea ushauri wako, acha niuanzishie uzi
 
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa

naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
Kumuenzi ni kumwandalia mahitajo mbalimbali wakati wa kujifungua lkn pia maandalizi kwa ajili ya mtoto ajaye...hizo Tshirt hazitasaidia mama kujifungua salama wala kusaidia mama kupata maziwa ya kutosha!!
 
Back
Top Bottom