Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nimekwama Eve, yaani huyu mwanaume is really cool, caring hatari. Najaribu kuhamishia hisia kwa mume wangu wapi zinagoma, Mume akiingia tafrani, gubu gubu, hakosi cha kukosoa...hajui kusifia cha ajabu huko nje anajichekesha kwa wanawake wengine kama sio yeye. Nimechoka
Uyo jamaa wa mtaani hata hakupendi. Kama kweli anakupenda mshauri amwache mke wake . Amfuke ndio umpe game. Asipofanya hivo atakukula then aanze kukutangaza pale hakuna mke ili wanaume wengi wajitose. Ndoa ni kuvumiliana upendo haupo milele.
 
We usituzingue endeleza kuchepuka kama kawa maana yaonekana una PhD
 
Nimecheka hapo ulipowaita wababa pia waje kukushauri yani umemwaga chumvi juu ya moto ha ha ha ha hiyo kiboko.
fata moyo wako hapa utakutana na wasafi classic wakupe mahubiri, lakini pia ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye.....amua we mwenyewe
Nimecheka kwa sauti kwa haya mawili
1. Wasafi Classic
2. ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye...

Duh,,
 
Yani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.
Comments zao humu majority wanawaongelea wake zao kama ni watu wenye matatizo na maudhi na ni kero sana, nabaki kujiuliza hivi wanaume wao huwa ni malaika au? Na ukweli mchungu ni kwamba ndoa nyingi zipo kwa sababu tu wanawake wameamua ziwepo. Wakiamua kukisanua, siku si nyingi utasikia mume kadondoka ghafla. Nashangaa wanavyowatreat vibaya wake zao as if wanawake tu ndo wanazihitaji hizo ndoa na wao hawana shida nazo, kumbeee
 
Omba talaka kuliko kufanya ndani ya ndoa. Ukiwa nje ya ndoa utakuwa huru. Ukiwa ndani ya ndoa tegemea mauaji ya kikatili. Either kwako au kwa huyo mwenzako. Lazima mmoja wenu atakufa kifo kibaya... Msitake kuongeza habari kwa polisi kuwa kuna kifo cha kutisha kisa wivu wa mapenzi. acha kabisaaa. Kama umemchoka omba talaka uondoke. Lakini umeshauriwa vya kutosha kama husikii kuna kitu unakitafuta. Na tambua laana hiyo unaipeleka kwenye familia yako na heshima ya familia yako inashuka. Mbaya zaidi wewe unajishushia heshima. Mwisho wa siku utatamani ujiue
Nyie wanaume huwa hamleti laana eeeh Leo mumekuwa wahubiri eeeh
 
Nimecheka hapo ulipowaita wababa pia waje kukushauri yani umemwaga chumvi juu ya moto ha ha ha ha hiyo kiboko.
fata moyo wako hapa utakutana na wasafi classic wakupe mahubiri, lakini pia ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye.....amua we mwenyewe

Mwanawasu, una ka uzoefu na hii maneno? [emoji23][emoji23]... Hujambo?
 
Back
Top Bottom