Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Uyo jamaa wa mtaani hata hakupendi. Kama kweli anakupenda mshauri amwache mke wake . Amfuke ndio umpe game. Asipofanya hivo atakukula then aanze kukutangaza pale hakuna mke ili wanaume wengi wajitose. Ndoa ni kuvumiliana upendo haupo milele.
 
We usituzingue endeleza kuchepuka kama kawa maana yaonekana una PhD
 
Nimecheka kwa sauti kwa haya mawili
1. Wasafi Classic
2. ukishapata hamu ya hivo ni haitulii hadi ufanye...

Duh,,
 
Yani wanaume ni wabinafsi mno wake zao hujituma kwa familia then wao wanachepuka wanasingizia eti uvivu wa wanawake, Leo humu wote wana uchungu na wacha Mungu.
Comments zao humu majority wanawaongelea wake zao kama ni watu wenye matatizo na maudhi na ni kero sana, nabaki kujiuliza hivi wanaume wao huwa ni malaika au? Na ukweli mchungu ni kwamba ndoa nyingi zipo kwa sababu tu wanawake wameamua ziwepo. Wakiamua kukisanua, siku si nyingi utasikia mume kadondoka ghafla. Nashangaa wanavyowatreat vibaya wake zao as if wanawake tu ndo wanazihitaji hizo ndoa na wao hawana shida nazo, kumbeee
 
Nyie wanaume huwa hamleti laana eeeh Leo mumekuwa wahubiri eeeh
 

Mwanawasu, una ka uzoefu na hii maneno? [emoji23][emoji23]... Hujambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…