Nataka kuchepuka, njooni mnishauri



Kuchepuka siyo dhambi, wewe furahisha nafsi yako na ujikinge ila usije chepuka na rafiki wa mumeo ama rafiki wa kaka zako kwani hapo utakuwa umejilaani.
 
Bora kujipooza nje ili hata akihamia kwa michepuko hungaiki naye unabaki tu kulea bila stress
Unakosa hata mda wa kumuwaza hawa wanaume wanaona rahisi sana kuchepuka wao na mara nyingine hadi wanatuonyesha lakini tunapiga kimya cha kupata kisukari nini akuu vyakula vya chumvi vitamu weee
 
Bora kujipooza nje ili hata akihamia kwa michepuko hungaiki naye unabaki tu kulea bila stress
Na ninachowapendea wengi wenu wanawake ni wasiri saana, ingawa kuna nyakati mkitingwa mnahaha kama kuku anaetaka kutaga[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa kuutaka mchepuko wako
 
Curiosity.....

Nimefurahi wadada wengi wanajielewa, wamekupa ushauri mzuri, usitoke nje ya ndoa yako, mwisho wake huwa ni talaka, unless you're ready to divorce.
 
Lakini mtambue kuwa mwanamke huwa anakojoa akiwa kachutama lakini mwanaume akiwa kasimama. Hata mbele ya kadamnasi lakini mwanamke hawezi
 
Uzuri siogopi talaka, labda nachofia ni future ya Kids, sitaki wapate malezi ya single parent
Chukua maamuzi yako.lakini angalia huyo jamaa utakaechepuka nae ataendelea kukupenda au ndio utakuwa unatoa chance za eat and run baada ya ndoa kuvunjila
 
Kweli kila Uzi humu wanaume ndo huongoza kuwalalamikia wanawake kila tatizo kumbe na wao ni tatizo sugu sasa mtu mkewe analea watoto anaenda kuchepuka, hafu hata Ku f..ck vzuri huwa hawajui tunawahifadhia siri wao wakienda kwa michepuko ni kuponda wake zao, wanawake tu wanaovumilia ndoa ndo wanachepuka in smart way aisee ili maisha yaendelee tu taratibu, wanaume wenyewe huwa hawajui Ku handle hata stress ajue sasa mkewe anachepuka huyo BP
 
Uzuri siogopi talaka, labda nachofia ni future ya Kids, sitaki wapate malezi ya single parent
Wewe ni malaya ulishakubuhu unatujaribu hapa.. Nenda kapeleke hiyo nyama nyekundu... Na usitegemee kuna lolote huyo kijana atakupa zaidi ya dharau na kuidhalilisha familia yako....Idiot
 
You nailed it
 
Yani wengine unakuta mke ndo mahaba kama yote kwa mume "hubby this hubby that", huku michepuko inasonya na kucheka kimoyomoyo ikikumbuka hubby mwenyewe ligi ya mchangani, anatambaa kama nyoka. Kudhalilishana tu mfyuuuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…