ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Pole kwenye kutayarisha kitalu utapata kila appreciation na care ila baada ya kuona manyoya itabaki historia ko uta transact wengi.Pambana na hali yakoNi kweli kuna kero zimepelekea hata niwaze kuchepuka, lakini nimeongea nimechoka, nimeshirikisha watu wazima lakini ndio kwanza naishia kupata kichapo.
Somtimes nafikiria sihaitaji chochote huko mchepukoni, All I need is appreciation, someone to appreciate me...to appreciate my beuty, sex...basi tu.
Kuchepuka does not mean humpendi uliyenae sema wanawake kwao kuchepuka ni kupenda wakati sie wanaume ni kupunguza genye tu na kucharge mashineUyo jamaa wa mtaani hata hakupendi. Kama kweli anakupenda mshauri amwache mke wake . Amfuke ndio umpe game. Asipofanya hivo atakukula then aanze kukutangaza pale hakuna mke ili wanaume wengi wajitose. Ndoa ni kuvumiliana upendo haupo milele.
Kibiblia mwenye dhamana ya ndoa ni mwanamke maana ndio huwa anaitafuta kwa udi na uvumba ilhali mwanaume ni mateka thus why mwanaume ni mhanga mkubwa wa matokeo hasi ya kimahusiano but sio kwangu maana nimelijua hili mapemaComments zao humu majority wanawaongelea wake zao kama ni watu wenye matatizo na maudhi na ni kero sana, nabaki kujiuliza hivi wanaume wao huwa ni malaika au? Na ukweli mchungu ni kwamba ndoa nyingi zipo kwa sababu tu wanawake wameamua ziwepo. Wakiamua kukisanua, siku si nyingi utasikia mume kadondoka ghafla. Nashangaa wanavyowatreat vibaya wake zao as if wanawake tu ndo wanazihitaji hizo ndoa na wao hawana shida nazo, kumbeee
Habari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Bila shaka wewe umeachika kwasababu ya umalaya... I realize it from your comments... Ni type ya hovyo ya mwanamke kuwahi kutokea...inaonyesha huna mume ila ni changudoa unaejiuza kimboka, sudan au kinondoni.. Huna maana mwanamke kucomment upumbavu kama huo. Yaani wewe ndo unawakilisha wanawake dah so stupid...Kuchepuka anaenda kutafta mwanaume mkojozaji mzuri kucheza kiwanja kimoja kunachosha mno loh
Sister angu ktk ubora wakeSikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Bado upo nae??? Dah wewe ndo mabwege tunaosemaga siku zote. Huwa natamanill sana zinikute,, kizuri ni kuwa nishamwambia wife... Akitaka kutombwa nje ahakikishe tumeachana ndipo akatombwe vinginevyo hiiiiiiiiiiiiiii...... Kwahiyo nipo safiNimependa hiyo lifetime insult. Ni kweli kabisa...Mke wangu alikuwa nachepuka nilijua nilikaa kmya nikatafuta ushahidi nakaa kimya...kinachoendelea anajidhalilisha hata kma na mimi ananidhalilisha lakini anajidhalilisha zaidi...
una akili njema hakikaWe jifanye taaila tu utajua mwenyew zambi ya udhinifu unataka utushirikishe na sisi???? Kwenye hilo janga hatushauriani kila MTU anaingia kivyake
Siku akiuawa juu ya hilo ndipo utapojua kuwa haikuwa kujazana ujinga. Uzuri mifano ipo wazi... Yaani ukatombwe nje halafu nikuchekelee... Nimelogwa... Kwa mikono yangu nakuuamnajazana ujinga hamna lolote
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
we htmb?Siku akiuawa juu ya hilo ndipo utapojua kuwa haikuwa kujazana ujinga. Uzuri mifano ipo wazi... Yaani ukatombwe nje halafu nikuchekelee... Nimelogwa... Kwa mikono yangu nakuua
Ontario umebadili ID eeh?Achana na mawazo machafu. Hatuchepuki, we are women busy looking for $$$. Nicheki Telegram @Tzforexlady kwa ajili ya ishu za forex.
Non-wife material,maskini unakuta kuna kajamaa kamekupa moyo wake kwa dhati ,nasema katapta tabu sanaKuolewa au kuhangaishana kuko kwenye mapenzi sasa wengi wanaume mkijaliwa ndo huwanyanyasa wanawake vibaya, ujue nyie ndo hufanya wanawake waanze uovu, mfano mama analea humsaidii unataka akupe attention kabla ya kuwa na mtoto. Mapenzi ni ya wawili jamani bila hivo michepuko haiepukiki
Natomba lakini siwezi mshauri mtu akatombe... Wewe mwache ajishauri mwenyewe yatakayomkuta yawe juu yake... Akiuawa utakuja hapa kusema siyo huyu alituomba ushauri hapa jf... Acheni undezi msiojielewa... By the way msijionyeshe kuwa nyie ni wanawake ambao mmekubuhu. Ni bora mkamshauri positive way halafu yeye mwenyewe aende akatombwe kwa maamuzi yake mwenyewewe htmb?