Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Usihatarishe maisha ya mtu mwenye family yake once mumeo akijua ujue maisha ya huyo uliechepuka nae yapo hatarini na utaishi kwa shida sana the rest of your life
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa sana.
 
Nimekupenda bure ww ni rafiki mzuri sana hupindishi neno wala humpotezi mtu...kwa ushauri huu uliotoa naomba uwe rafiki yangu.
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Unajua vitu vingne lazma ujiulize kabla hujachit, hebu jiulize ukishachepuka nae ni nin kitafata, utafaidi nini kwa huyo mume wa mtu au ni atakuzarau tuu,yaani ni bora mwanaume achepuke kuliko wew mke wa mtu
 
Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Nimekukubali Dada kwa madini yako.
 
Sifa kubwa ya binadamu ni kuwa na utashi so unajua lipi zuri na lipi baya.siyo kila unalolitamani razima ulipate... Zini for your own risk.
 
Unajua vitu vingne lazma ujiulize kabla hujachit, hebu jiulize ukishachepuka nae ni nin kitafata, utafaidi nini kwa huyo mume wa mtu au ni atakuzarau tuu,yaani ni bora mwanaume achepuke kuliko wew mke wa mtu
Kuchepuka anaenda kutafta mwanaume mkojozaji mzuri kucheza kiwanja kimoja kunachosha mno loh
 
Nilikuwa mlokole mzuri sana nkachepuka na mke wa mtu,Mara ya pili akanigomea kumbe ibilisi alimtumia tu kuniachisha ulokole,Nikatafuta wa pili nae akagoma ile nimechupuka nae tu nkajua ana Ngoma, Wa tatu ni mke wa mtu aliniomba ushauri nkamsaidia akaanza mazoea kumbe kila ninachomwambia anawaambia mashosti na mume wake,Mume wake amenipigia simu kuwa lazima anitafute tuyamalize pia kila nikifika mtaa huo wanawake wote wnanicheka na kuniambia mla wake za watu! Mwingine ni kademu tu nilimkuza nikataka kumlulu kama Kanumba ila cha ajabu kaenda kunishtaki kwa dada yake kumbe naye aliwahi kuwa mchepuko wangu.Mwingine niliwahi chepuka naye nikajikuta Asubuhi niko Shambani kwake nalima bila ngu

Mwingine ni kibinti kila siku ananihenyesha kwao ni mwaka wa saba sasa na nilipo mpata mara mbili tena kwa mbinde hataki tena mapenzi na mimi na tayari nshawafuma na wanaume 9. Balaa ambalo ni sawa na la balaamu ni niliyewahi kuchepuka nae ananuka papuchi kama Punda aliyekufa nilioga siku kumi harufu iligoma kwisha, Tena ukishangaa ya viraoni utaona Raoni ni mwingine ambaye ni alikuwa anajiita mke wa mtu ila nikifika watu wote wananipisha naingia kumgegeda,Pesa zangu nyingi zimeishia kwa hii kazi nilioamua kwa moyo wangu kufanya

Mwingine ni jirani yangu ananiambia kila siku kesho kesho, Na kiboko kabisa kama sio mamba ni aliyenidanganya nikamtumia miamala ila papuchi kanikacha hadi leo najuta. Kama hayo haitoshi wako wengi tu ambao nikitaja matukio kama kuingizwa uvunguni baada kufumwa. Kuvaa kanga kama demu ili watu wasinitambue, Kuitwa na kuambiwa njoo sehemu fulani na kukesha usiku kucha mtu ananidanganya tu nakuja n.k,n.k,n.k hayo ni machache ya tabu ya michepuko.

Mama Kuchepuka ni kama sigara siku ya kwanza ya kuvuta utapiga chafya sana ila ukisha zoea msaada wako ni kanza tu au kifo.

Chepuka mama kwa faida ya shetani na moto uliondaliwa kama hayo yatakuwepo,Chepuka ili hio papuchi yako nayo ionjwe na wengine kama ina laza tofauti japo ladha ni ile ile. Chepuka tu usiogope ila Vitabu va dini vinakataa. Maskini ungekuwa karibu ningekupitia tu maana hakuna namna ila sasa bahati yako huenda wewe ni mwnaume au mwanafunzi.

Mwisho ila sio muhimu mchepuko sio dili. Chepuka ili Uunge mkono juuhudi za raisi wetu.
 
Asilimia kubwa ya wake za watu waliowahi kujilengesha, walinitunuku matundu yote. Ila kwakuwa mara zote nilikuwa maji, sikumbuki kama lile tundu dogo nilikuwanaombaga, nalazimisha, ilikuwainatokea tuu au wenyewe walinizawadia. Pia sikumbuki kama nilipiga au laa zaidi ya wao kuishia kuniambia wee mchafu sana huku wakipita mbali na mi na mazoea yakawa yanaishia hapo na baadhi kujileta tena. Sikuhizi nimejitambua na kurudi kundini.
Hivyo mleta mada mwachie tuu jamaa apige mara moja ili nafsi yake itulie na ukute jamaa ni mchafuzi kama nikivyokuwa mimi, akuchafue haswa, baada ya hapo utarudi kwa mumewe kwa upole na kukituliza kwa adabu.

NB:Kwa wanaume wakware, kitu pekee wanachowezakumfanyia mke wa mtu ni kitu ambacho mumewe hawezi kumfanyia. I hope umenisoma.
 
Kwanini usidai talaka kwa mumeo kisha huyo jamaa akakuoa ukawa mke wa pili au akakuweka nyumba ndogo?
 
Back
Top Bottom