leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Na wakati wa kupewa talaka utatuambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheka kihutu[emoji13] [emoji13] [emoji13]wamajazana upepo tu hapa hawana lolote
Uwezo wako wa kufikiria ni mkubwa sana.Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Nimekupenda bure ww ni rafiki mzuri sana hupindishi neno wala humpotezi mtu...kwa ushauri huu uliotoa naomba uwe rafiki yangu.Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Unajua vitu vingne lazma ujiulize kabla hujachit, hebu jiulize ukishachepuka nae ni nin kitafata, utafaidi nini kwa huyo mume wa mtu au ni atakuzarau tuu,yaani ni bora mwanaume achepuke kuliko wew mke wa mtuHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, Kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, Na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Nimekukubali Dada kwa madini yako.Sikia mke wa mtu usitutafutie sababu ukatupa dhambi kwa kushiriki uzinzi wako,iko hivi wanawake sisi hatuchepuki kwa kuamua asili yetu sisi siyo wahuni kama jinsia pinzani,tunachepuka kutokana na sababu na kufanya lile tendo huwa ni hisia zaidi hapo ina maana kuwa wewe mapenzi na hisia kwa mumewe yamepungua yamehamia kwa mume wa mtu,najua hawa wenzetu wana maudhi sana kuna vitu vitakuwa vimesababisha mpaka kufikia hapo,unachotakiwa kufanya nendeni sehemu rudieni honeymoon mpendwa nendeni hata pale saadani kuna beach na wanyama ongeeni kaenjoy mkimaliza jifungieni garagaleni chumbani kama vile siku za kwanza mlivyoanzana hakika upendo utarudi tu au kama kuna vitu kapunguza muambie au kama kakukera kuambie nauhakika ipo sababu iliyokufanya ukawaze hayo.
Kwa huyo mume wa mtu mchepuko wako mpotezeee block kila mahali usimpe nafasi wala sababu ya kukusogelea niamini anataka akufunue mcheze tu mchezo wa kikubwa hana upendo na wewe hata kumbuka hawa wenzetu kungonoka kwao ni kamchezo tu yaani kamchezo tu karahisi sana hakahitaji chochote tofauti na wewe utahatarisha ndoa yako na mapenzi yako.
Mimi nimekusaidia tu kukuelewesha pia upunguze idadi ya tusiooolewa maana naona kabisa unajichimbia kaburi
Kuchepuka anaenda kutafta mwanaume mkojozaji mzuri kucheza kiwanja kimoja kunachosha mno lohUnajua vitu vingne lazma ujiulize kabla hujachit, hebu jiulize ukishachepuka nae ni nin kitafata, utafaidi nini kwa huyo mume wa mtu au ni atakuzarau tuu,yaani ni bora mwanaume achepuke kuliko wew mke wa mtu
Aisee[/QUO
Mkuuuu ilo buno lote lako khaaaaa watummependelewa
Ushimen ww kichwa saaaaaana wengi hp wanazunguka zunguka tu kumshauri kumbe jibu hili hp!Hataki kunipa talaka - JamiiForums
Kabla ya kurejea kwenye hoja, naomba nikukumbushe.
Bilashaka ulisha mchoka mumeo...tehteehh
Don't my dear
Mie nilifumaniwa kwa ujinga kama huo
nina ndoa mkuu bado cheti tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jesus take the wheel!!!