Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
Hahaha ungemuuliza kwa utani uone ambavyo angejikanyaga
 
Aliyekuwa mke wangu alisema anaenda kwenye kikao cha C.W.T akadinywa anliporudi hawezi hatkuniangalia usoni anaangalia chini au pembeni nikajifanya sijajua...
Ulijuaje?? Vipi haukumdhuru kweli
 
Ulijuaje?? Vipi haukumdhuru kweli
Ukimjua mtu wako wa karibu vizuri anaweza kuwa na mabadiliko...ambayo yeye hajui kama anabadilika na kiona hivyo usimwambie tafuta sababu ya mabadiliko utajua A-Z. Wanaodhuru ni wale ambao huwa wanaotumia mwili ila wanaotumia akili huwadhuru lakini pia miziki yao mibaya zaid ya wanaodhuru mwili...nakisia tu lakini...
 
Ukimjua mtu wako wa karibu vizuri anaweza kuwa na mabadiliko...ambayo yeye hajui kama anabadilika na kiona hivyo usimwambie tafuta sababu ya mabadiliko utajua A-Z. Wanaodhuru ni wale ambao huwa wanaotumia mwili ila wanaotumia akili huwadhuru lakini pia miziki yao mibaya zaid ya wanaodhuru mwili...nakisia tu lakini...
Enhee!!! Ukamnasaje?
 
Kwa haya nayoyaona mitandaoni bhc ndoa za siku hz n kuishi kwa mazoea tu ila upendo wa kweli hakuna....juzi nmeikuta thread ya mwanamke mwingne akiomba apewe mbinu za kuchepuka....HV wanawake mbona mmeanza kuwa na ushetwani kiasi hiki ....haya kachepuke,ukimletea magonjwa mumeo mtakufa soon na mtaacha yatima wakiteseka....watoto wa mitaani hawawez isha kwa mawazo na matendo yenu wa wanandoa kama mtaendelea kuwa HV......bullshit
 
Kwahiyo tuliyoyapanga kuhusu kuchepuka umeona uje kusema huku.

Mbona tulipanga vizuri na nikakuahidi ntakugegeda vizuri.
Basi sikutaki tena.
 
Kama nakuona vile unavyoenda kunasia kwenye kipozeo.
 
Ushauri Mzuri nenda kale kiapo cha ndoa na mumeo,kama vile mlivoapa mbele ya altare.


Kuna kitu utapata,niamini
 
Iwe jua au mvua wewe utachepuka tu.
Wanawake wengi wana wanaume watatu.
1.Ni mwanaume yule ambaye kampenda yeye haijalishi ana pesa au hana anaweza kutandani au hawezi.

2.Ni mwanaume yule mwenye pesa anayemhonga pesa nyingi zawadi kibao ila most ya wanaume wahongaji kitandani ni zero au nguvu ya pombe.
3.Ni mwanaume ambaye kapendwa kwa sababu anamkanyaga kisawasawa huyu dume mara nyingi huhongwa pesa badala ya kuhonga. Wake za matajiri wengi wameangukia kundi hili na mwisho wanaume hawa hufa mazingira ya kutatanisha wakigundulika.

Hutokea mara chache sana kuchepuka akute dume ana pesa za kutosha na ni mhongaji akawa handsome anayependeka na kazi anaipiga sawasawa huyu mara nyingi huwa mwanamke anaachika kwa mme kabisa hawezi kuelewa kitu wala mtu. Mapenzi ni noma.

Nilishuhudia mke wa mtu akimganda rafiki yangu mmoja kuwa yeye aachike aolewe naye kisa jamaa kampiga kipigo cha marekani kwa Iraq.

Akili za wanawake wanazijua wenyewe bila mshikaji kukataa angeshaachika muda.Na sasa ana watoto watatu na ktk hao hawa wawili ni mgogoro si wa mme wake kuna midume miwili tofauti imemzalisha humo humo.

Unapooa ni vema pia ukajiandaa kisaikolojia ukajua uwepo wa uhuni huu hata ikikutokea hutaumia sana. Kwenye mapenzi kuna faulo zote za dunia.
 
Unamaamuzi na uhuru wa kuchagua lipi la kufanya ila huna uhuru wa kuchagua matokeo yake.
Wewe ndiwe utakayepata athari 100% hivyo jipime mwenyewe
 
Utadhani hawachepuki hao wanaume utadhani wanachepuka na wanaume wenzao.....mtumishi niombee ha ha ha


kwa hyo unafanya uovu kisa mwingine nae anafanya. Watu hodari hujifunza mema kwa watu wengine lakini atu dhaifu hujifunza ubaya.

Uombewe kwa kweli
 
Back
Top Bottom