Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Mama K badilisha ladha wewe nenda tu ukanyonywe mashimo yote mawili
 
Mnaotaka mrejesho, kiukweli Kwa kipindi kile sikuchepuka, nilielewa ushauri wa humu....na nilihama lile eneo...Ila nitaandika thread...!
Ahahahahahaaa ukikimbia nchi kisa mvua inanyesha, IT RAINS EVERYWHERE..!! Sasa siku ujenge nyumba yako halafu umuelewe mbaba wa mtu, sijui utahama nyumba ukapange..!!
 
Ila wanaume huwa mnatufundisha tabia mbaya sana. Uchepukaji kwa mwanamke alieolewa asilimia kubwa husababishwa na mwanaume. Kama suluhisho la mwisho kwako ni kuchepuka dada we kachepuke tu upate amani ya moyo 😉😛😉
Tabia ya kusingizia wengine hujaanza wewe..!! EVA pale eden alimsingizia nyoka kwa kumsababishia kula tunda. Naye Adam alimsingizia Eva kwa kumsababishia kula tunda..!! Hao wote mwisho wa siku wamepata dhambi kwa kula tunda lililokatazwa.
 
Kumbuka kuingia ni rahisi balaa lake ni kutoka huenda ndoa itakuwa ishakufia
Kujitahidi kujitunza daima ni jambo jema zaidi , usafi wa nafsi yako ni muhimu sana.
 
Ilikuwaje shost angu, nambie labda nafsi itajifunza.
Kuna ama baba aliyetendewa hivyo post yako inamuuma Sana....au Mama ambaye yamemkuta nafasi imetenda anashangaa lengo lako....

Nikuombe tupe sababu Kwanini unaamua.

Nilichepuka na mwalimu tatizo mume wangu anaishi mbali. Na Kuna wanafunz wanasoma nchi alipo nikaumia sana. Nilifanya hivi kwasabb. Nisipate ugonjwa( uvimbe) na kisasi Kwa kutoka na mwanamke mwingine ambaye naye anamchumba ingawa anasoma hapa. Nimekuja rasm kuona namtafuta huyo dada Kwa hamu Sana
 
Tupe mrejesho, umeshaliwa kimasihara tukasome stori kwenye uzi pendwa?
Ila Wee jamaa bhana
images-512.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wakuu wanaosisitiza wanaume wasioe wachakate tu, wanaweza kuwa na kaukwel fulan, adui wa mwanamke ni mwanamke.
 
Habari za mchana.

Mrejee kichwa cha habari tajwa, kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.

Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.

Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri
Hahaha ukisikia yalaaaaa
 
Mito mi sitaki kuwa mnafiki hata robo, hali aliyofikia binafsi naielewa I guess akimuona jamaa pichu inaloa nakuambia hivi hata upige na maombi huyu ataliwa tu.
otherwise nijifanye tu okay mamy k don't do that ni dhambi ha ha ha ha ha nacheka kama mazuri
 
Back
Top Bottom