Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Hugongwi vzr kwanini usichepuke na wewe, mimi napenda motoo so kama huwezi kupeleka moto nitatafuta tu mtu mwingine jaman, smtms unapata hasira kumbe ni nyege hahaha, sex partner inaruhusiwa jaman au mnaonaje wapendwaHabari za mchana.
Mrejee kichwa cha habari tajwa, kuna mkaka hapa mtaani nimemuelewa, na yeye amenielewa ila yeye ni mume wa mtu na mimi ni mke wa mtu.
Jamani nipo kwenye ndoa huu mwaka wa 8 sijawahi kuchepuka, ila naona sasa shetani anaelekea kunizidi nguvu. Hebu nishaurini wale mlowahi kuchepuka....nipeni uzoefu.
Wababa wachepukaji karibuni pia kwa ushauri