Jongoo Mpendawa2
Member
- Mar 12, 2015
- 25
- 2
Tembelea Access Bank utajibiwa...Habari wafanyabiashara wenzangu, nataka kuchukua mkopo wa shilingi milioni moja na laki za kitanzania, idea yangu ya kwanza ni kufungua banda la chips na kingine niwe na stationery flan ivi itakayokuwa na desktop, printer, fan, kiti cha kuzunguka na subwoofer ya kichina. Mnanishaurije hapo??? inaweza ikanilipa na kurudisha marejesho yote.
Marejesho kwa mwezi ni laki 2 na 20... Karibu wote kuchangia.
T Tembelea Access Bank utajibiwa...
Ufafanuzi tafadhaliAccess bank= Bayport. Kimbia.
Ufafanuzi tafadhali
Ndio ni mtaji wangu wa kwanza na mara yangu ya kwanza kufanya biashara, Marejesho ni miezi sitaUnalipa kwa miezi mingapi?
Na hiyo hiyo unategemea kama mtaji wa kuanzia kabisa??
Pagumu kwa mtazamo wangu ila wanasema usisikilize mawazo ya wanaokatisha tamaa.
Miezi sitaMkopo unarudishwa kwa muda gani??
Habari wafanyabiashara wenzangu, nataka kuchukua mkopo wa shilingi milioni moja na laki za kitanzania, idea yangu ya kwanza ni kufungua banda la chips na kingine niwe na stationery flan ivi itakayokuwa na desktop, printer, fan, kiti cha kuzunguka na subwoofer ya kichina. Mnanishaurije hapo??? inaweza ikanilipa na kurudisha marejesho yote.
Marejesho kwa mwezi ni laki 2 na 20... Karibu wote kuchangia.
Sababu
- Chukua huo mkupo
- Fanyia kazi idea ya kwanza
Wazo la Pili
- Utahitaji msingi usiozidi TSH 500'000, kiasi kinachobakia kitunze benki
- Hapo ni ghalama zote ikiwa ni Banda, Vifaa vya kukaangia, Mafuta pamoja na Viazi gunia Moja
- Ukipata eneo lililojirani na baa kubwa au ukumbi wa burudani, utafurahia biasghara na utajilaumu kwa nini haukuanza mapema, Sababu kila siku lazima uweke faida ya kutosha, Hii biashara ya Chips huwa haina hasara, Bali faida huongezeka na kupungua. Mfano siku za weekend faida ni kubwa na katikati ya wiki faida ni kidogo
- Hiyo fedha ni kidogo
- Haitoshelezi hivyo vitu vyote ulivyotaja viz "desktop, printer, fan, kiti cha kuzunguka na subwoofer ya kichina"