Jongoo Mpendawa2
Member
- Mar 12, 2015
- 25
- 2
Habari wafanyabiashara wenzangu, nataka kuchukua mkopo wa shilingi milioni moja na laki za kitanzania, idea yangu ya kwanza ni kufungua banda la chips na kingine niwe na stationery flan ivi itakayokuwa na desktop, printer, fan, kiti cha kuzunguka na subwoofer ya kichina. Mnanishaurije hapo??? inaweza ikanilipa na kurudisha marejesho yote.
Marejesho kwa mwezi ni laki 2 na 20... Karibu wote kuchangia.
Marejesho kwa mwezi ni laki 2 na 20... Karibu wote kuchangia.